Huo ulikuwa ni mchezo wa pili katika kambi yake ya Uganda kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, baada ya awali kulazimishwa sare ya 0-0 na ...
Hapa ni stendi KUU ya SONGEA tulikuwa tukiwasindikiza walikuwa wakirudi kwao Mbinga. Nimependezwa na maneno haya kwenye T-shirt ya Wifi.
Napenda kuwatakieni mwisho mwema wa juma pia Ijumaa hii ya mwisho wa mwezi huu wa nane. Huyo Ntoto kaanza mapema mno jamani. Kaaazi kwelikweli.
Je? wewe kabila lako ni lipi hapo? Tujenge Taifa letu. Tutumie utajiri wa makabila yetu kuwa na Taifa imara na lenye mshikamano wa hali ya juu.
Picha ya kwanza ni hadithi ya jogoo aliyesema, ya pili ni Sadiki na Sikiri, ya tatu nimesahau sijui kuna anayekumbuka anisaidie?.ya nne ni Sizitaki mbichi ...